Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mugongo mugongo

Image may contain: one or more people and people standing
 
Qatar kama UAE kuna Wakenya wengi sana wake kwa waume na KE ni warembo hasa, waganda wa kuhesabu na Watanzania kama wapo basi wanachukua nafasi ya mwisho katika mataifa haya matatu ya Afrika ya Mashariki. Kule maisha ni bomba sema joto lake hasa miezi ya May hadi August utadhani kuna moto ukitoka nje.

Sababu nyingine kubwa ni uzalianaji duni, tokea pale wanaume (karibu-94%) huihama nchi yao na kwenda kufanya kazi mataifa mengine ya kigeni kiasi ya kwamba serikali ya Qatar kwa sasa ikawalazimu kutoa nafasi za wahamiaji na kuwapatia kibali maalumu (Visa) ili kuziba upungufu huo wa nguvukazi taifa waliohama makwao kwa ajili ya kutaka kuinua uchumi wan chi hiyo.

Uwiano (ratio) kati ya wanaume na wanawake kwa nchi hii iliyo mashariki ya kati na iliyo tajiri kwa uzalishaji wa mafuta ni 3.41 to – 1.54.
 
Back
Top Bottom