Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyo mtoto naye tayari kwisha - yeye na vizazi vyake vyote wallahi![]()
Kilimanjaro: Mama afariki dunia baada ya kuporomoshewa matusi na mtoto wake wa kiume
Amani itamalaki dunia Imeripotiwa na EAST AFRICA RADIO kuwa mama mmoja Maria Tabu amefariki dunia baada ya kutukanwa matusi mazito ya nguoni na kijana wake wa kumzaa. Kijana huyo alimtukana mama yake baada ya kijana huyo kuanza kudaiwa pesa aliyokopa kwa mama yake kiasi cha Tsh 50,000. Mama...www.jamiiforums.com