Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Maslahi hayo ya nchi za Ghuba yanaweza kuhamisha uhasama kutoka kwenye ngazi ya Bara la Ulaya, ambako kwa zaidi ya miaka 10 sasa UAE imekuwa inaimiliki Klabu ya Manchester City ya England na Qatar inaimiliki Klabu ya Paris Saint- Germain (PSG) ya Ufaransa, na kuufanya ushindani wao wa kiuchumi kuingia ndani ya viwanja vya England.