moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usiku hawa mbu wa Dengue hawako active ama?
Ukijiingiza sana kwenye hizi "conspiracies" bro unaweza kuchanganyikiwa. Kuna mengi hatuyajui katika dunia hii. Ni kujifunza kwa pole pole na tahadhari kwa sababu, ukiangalia kwa undani kabisa, karibu kila kitu kinachofanyika katika dunia hii lengo lake kuu ni watu wapate pesa.
Tatizo waganga wengi nao matapeli tu. Atakwambia anatibu magonjwa ya moyo lakini hakuna kitu. Kila mtu anatafuta pesa....
Kama nawaona maandaeitini (na hasa Prisca) wanavyohangaika kugugo ili wapate maelezo ya hii picha [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbuka hiyoView attachment 1131597
Yeah, mambo ni mengi.Ukijiingiza sana kwenye hizi "conspiracies" bro unaweza kuchanganyikiwa. Kuna mengi hatuyajui katika dunia hii. Ni kujifunza kwa pole pole na tahadhari kwa sababu, ukiangalia kwa undani kabisa, karibu kila kitu kinachofanyika katika dunia hii lengo lake kuu ni watu wapate pesa.