Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyo mtoto naye tayari kwisha - yeye na vizazi vyake vyote wallahi
 
Hapo ndipo kwenye shina kabisa la matatizo yetu mengi. Mifumo ambayo siyo yetu. Mifumo ambayo hatufungamani nayo. Kupondwa pondwa Kisaikolojia. Kujidharau....
Yeah, ninaafiki.
Kwenye huo uzi kuna mjadala kuwa UKIMWI hausababishwi na HIV na pia UKIMWI unasababishwa na ARVs...

Nilitaka muone huo mjadala.
 
Hapo siwezi kupagusa labda wataalamu. Mtu si anapimwa kwanza ndiyo anaanzishiwa hizo ARVs? Sasa iweje tena ndo zimletee UKIMWI?
Issue ni tata.

Kwanza wanadai kipimo cha UKIMWI nacho ni feki na tofauti na magonjwa mengine huwa wakipima UKIMWI hawamwangalii HIV kwenye microscope(au vifaa vyao) i.e huwa hawaangalii uwepo wa HIV.Hapa inabidi kuhoji wataalamu kwa undani.

Hoja ya kuwa HIV haisababishi UKIMWI inatetewa na uwepo wa watu wenye HIV bila ya kuwa na UKIMWI ambao wamekua wakiitwa career wa HIV.

Pia, dalili nyingi za UKIMWI zinaingiliana na magonjwa mengine kama TB na kuwa kwa kawaida ugonjwa husika ukitibiwa mtu hupona.

Pia, HIV sio kirusi kipya;HIV kipo hata kabla ya mwaka 1984.Hoja ni kwamba kwanini UKIMWI usitokee kabla ya 1984 licha ya uwepo wa HIV??

Hoja ya ARVs kusababisha UKIMWI ni kama ambavyo tumekua tukisikia chemotherapy inavyowaumiza wagonjwa wengi wa cancer(i.e wengi wakianza chemo hali zao zinakua mbaya zaidi).ARVs nazo zinafanya kazi kwa kuua baadhi ya seli za mgonjwa na zikitumiwa kwa muda mrefu zitaua seli hadi mwili ukose kinga na hivyo UKIMWI.Na inasemekana ni addictive hivyo mara nyingi mgonjwa akiacha kuzinywa ghafla atafariki.

Kwa kifupi ni kwamba inawezekana hii issue ikawa kibiashara zaidi...
 
Tajiri mkubwa (bilionea) wa Abu Dhabi wa ukoo wa watawala wa UAE, Sheikh Khaled bin Zayed Al Nahayan, alisema majuzi kuwa amekubaliana na mmiliki wa klabu ya Newcastle United ya England, Mike Ashley, kununua klabu hiyo iliyoko katika daraja kuu katika soka la England kwa gharama ya Paundi za Uingereza milioni 350.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…