Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walah leo umekunywa kidogo eeh?
Nawewe mbona msahaulifu hivyo?

Ile saa 7 wakati tunatoka for lunch, akaja Dogo mmoja na mzigo begani nikamuuliza umebeba nini Mara akashusha begi akatoa Maj......ikabidi niite wenzangu wawili waish...

Kesho bana kwasababu nikikumbuka ntacheka hapa mpaka asubuhi babe,

Kifupi hii jumatano sintaisahau


We ''like'' tu Mimi nilale
 
I don’t wanna live forever
Me either. Hata pepo ya Wakristu ya kuimba na kusifu usiku na mchana milele na milele huwa inanikata stimu kiaina. Ya wenzetu Waislamu kidogo ina unafuu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Sijui kwa nini hakuna option ya mtu kufa na kusahaulika milele. Kwa nini iwe ni akhera au Jehanamu milele na milele?
 
Back
Top Bottom