Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
I fell right into that one..Didn't I ?If living without you then I don’t wanna live forever
I fell right into that one..Didn't I ?If living without you then I don’t wanna live forever
I fell right into that one..Didn't I ?
Kuna uzi kule Intelligence wa hii topicDoes God exist?
[emoji23][emoji23][emoji23] una mawazo kama yangu, kwanza huwa sielewi naishia tu kuchanganyikiwa na hii kitu inaitwa 'milele'Me either. Hata pepo ya Wakristu ya kuimba na kusifu usiku na mchana milele na milele huwa inanikata stimu kiaina. Ya wenzetu Waislamu kidogo ina unafuu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Sijui kwa nini hakuna option ya mtu kufa na kusahaulika milele. Kwa nini iwe ni akhera au Jehanamu milele na milele?
Wameshindwa kujadili, wanabishana tuu.Kuna uzi kule Intelligence wa hii topic
Itabidi tukutane siku moja tuijadili hii topiki kwa mapana na marefu. Tutamwalika na Kiranga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] una mawazo kama yangu, kwanza huwa sielewi naishia tu kuchanganyikiwa na hii kitu inaitwa 'milele'
Imani ... Imani.. Imani..Wameshindwa kujadili, wanabishana tuu.
Huyo hapana. Kwani hatuwezi kuwa wawili tu [emoji3][emoji3][emoji3]Itabidi tukutane siku moja tuijadili hii topiki kwa mapana na marefu. Tutamwalika na Kiranga [emoji16][emoji16][emoji16]
Jehovah's witnesses wao wana unafuu kidogo katika hii ishu. Wao wanasema kuwa Yesu Akirudi watenda dhambi wote ambao watakuwa hawajaokoka watachomwa moto once and for all na kufa kimoja na watasahaulika milele na milele. Hakuna cha Jehanamu wala moto wa milele kwa sababu Mungu mwenye upendo na Anayejua kila kitu hawezi kutesa watu aliowaumba mwenyewe katika moto milele na milele. Wananivutiaga sana kwenye hii ishu.[emoji23][emoji23][emoji23] una mawazo kama yangu, kwanza huwa sielewi naishia tu kuchanganyikiwa na hii kitu inaitwa 'milele'