Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a0b9c076-91ae-4036-85cf-8ceb075a00b0.jpeg
 
Manchester United watalazimika kulipa hadi pauni milioni 75 wakitaka kumsajili mlinzi Mfaransa Issa Diop,22 kutoka West Ham, baada ya Red Devils kukataa pendekezo la Hammer la kubadilishana wachezaji katika mkataba utakao mhusisha mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 23. (Mirror)
 
Manchester United wamepatia kipaumbele mpango wa kumsajili mlinzi wa Crystal Palace Aaron Wan-Bissaka, 21, kabla ya kuwaangazia wachezaji wengine wanaotaka kuwasajili dirisha la uhamisho wa wachezaji litakapofunguliwa. (Manchester Evening News)
 
Meneja wa Rangers Steven Gerrard, 39, amekataa wito wa kocha wa zamani wa Derby County kama kinara wao huku mipango ikifanywa kuziba pengolitaloachwa n Frank Lampard anaelekea kujiunga Chelsea. (Times - subscription required)
 
Back
Top Bottom