Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United watalazimika kulipa hadi pauni milioni 75 wakitaka kumsajili mlinzi Mfaransa Issa Diop,22 kutoka West Ham, baada ya Red Devils kukataa pendekezo la Hammer la kubadilishana wachezaji katika mkataba utakao mhusisha mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 23. (Mirror)
 
Manchester United wamepatia kipaumbele mpango wa kumsajili mlinzi wa Crystal Palace Aaron Wan-Bissaka, 21, kabla ya kuwaangazia wachezaji wengine wanaotaka kuwasajili dirisha la uhamisho wa wachezaji litakapofunguliwa. (Manchester Evening News)5
 
Back
Top Bottom