Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walah leo umekunywa kidogo eeh?
 
I don’t wanna live forever
Me either. Hata pepo ya Wakristu ya kuimba na kusifu usiku na mchana milele na milele huwa inanikata stimu kiaina. Ya wenzetu Waislamu kidogo ina unafuu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Sijui kwa nini hakuna option ya mtu kufa na kusahaulika milele. Kwa nini iwe ni akhera au Jehanamu milele na milele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…