I see it man...kama ivi pokea like
Duh aisee pole sana anko[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mwaka huo baadhi ya shule tuliletewa wakuu wa shule wanajeshi. Kuna kosa nilifanya nilirudishwa nyumbani kwa difenda ya FFU, ile nafika tu mshua anapiga simu ya mezani anatoa maagizo nikarundikwe ndani... Maisha haya [emoji23][emoji23]
Hata bilionea Mo?