kama ivi pokea likeKwahyo humu mtu akicomment chochote mnampa likes.....
15:2614:53
Duh mbali mno huko aiseee hao mtaan nawaamkia kabisa![]()
Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?
Kwa wale watoto wa Tambaza 1990 to 1993 mtakuwa mnakumbuka jamaa wakuitwa Puza. Huyu alikuwa ni miongoni mwa watukutu mashuhuri wa Tambaza. Mwaka 1992 Puza alijiua kwa kujinyonga nyumbani kwao maeneo ya Riverside. Mpaka Leo bado haijajulikana nini sasa kilimsukuma Puza hadi kupelekea...www.jamiiforums.com
#HalafuKunaWatuWanadaiSioUnder18
Kila nikikuona roho yangu inasuuzika daah Messi huyu. Davet popote ulipo kunywa mtori kwa chapati tatu ,Messi atalipa
hahahahahahah,Duh mbali mno huko aiseee hao mtaan nawaamkia kabisa
#ilahumunajidaikahengahahaha