Kuna watu wanakera sana bila ya kiasi. Eti: “Miaka 10 tu! Yatapita haya. Imebaki miaka 5 tu!” Mxxx Mnajua maana ya miaka 10 lakini? Ikianza una miaka 8 mwishoe unapiga kura; ukiwa una miaka 60 mwishoe unakaribia kuzikwa; ukiwa una miaka 28 ni miaka yako muhimu ya kufanya kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.