myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wafanyakazi wote
Video ukiona inachekesha sana jamaa nguvu hana mikwara, Hashimu hakukosea alipo mpiga ngumi moja akazira mzima 😀😀😀😀
Likes..pale njoro mooo town wikiend iyo
Ni ajabu hasa,,
Huyu ni wewe Mkuu
Alikuwa karibu kabisa miguu iguse ardhi. Ingegusa asingerudia tena...RIP![]()
Mhandisi wa Majengo Chunya, Aswile Msika ajinyonga kwa suruali yake, inasemekana chanzo ni kesi ya rushwa inayomkabili
mwanamwana, Sasa kesi ina ushahidi au? maumizi mengine sijui ni yeye au, but mhandisi unakula 1m? vuta mzigo mkubwawww.jamiiforums.com