Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Walyeikum msalam ndugu,Allahadullah mzima.Asalaam Alyeikum Hawachi, mzima
Walyeikum msalam ndugu,Allahadullah mzima.Asalaam Alyeikum Hawachi, mzima
Walyeikum msalam
Hawa viumbe wana ushetani hii sio hali ya kawaida 😳Hizi ndiyo pingu za maishaView attachment 1134112
🤲🤲AmeenMwenyezi Mungu atujaalie heri kwenye siku hii
Wageukaji kwenye ubora wenu jinsi mnavyo elezea pongezi kwenu😂😂😂😂😂😂tena wengine wakikufumania unaangalia msambwanda huachia tabasamu na muangaliaji wa msambwanda naye anaachia tabasamu kama si domo zege kumekuchaa ushapata upenyo wa kuanzisha gumzo 😜
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1133994
Aisee! Mungu mjuzi