Uweke na majina basi.
😁 Ukigeuka utaona nini?Kumbe ngoja na mimi nijifunze kuwageukia vidume 😀😀😀
Uweke na majina basi.
What about me what?apparently not and what about you?
Sijambo Moudy u hali gani?Hujambo
50 kwa kila mmoja?
Aisee kweli mahaba niue.. Gazeti kabisa umeandikaHahahahaha
Hoja yao hiyo wanaipenda sana japo haina nguvu na msingi, huyo Messi ni bora kwenye kila idara,ni aina ya mtu ambaye yupo royal sana kwa watu wanaomthamini imagine
Tangia azaliwe na pesa zote anazolipwa kama mchezaji anaelipwa zaidi Duniani lakini ana mwanamke mmoja na hajawahi kuchepuka
Tangia aanze kucheza mpira senior level yupo timu moja Tu ambayo ni Barcelona yote kwa yote huwezi ukapenda au ukahama makusudi kutoka Masaki/Osterbay aende kuishi Tandale/Tandika
Hivi Leo uambiwe kuna uzi mwingine wa kupeana likes afu uhame uzi huu uende huko hii haiwezekani sababu uzi huu ni bora na ni mkubwa, huo mwingine utakuwa underdog
Au kwa wanavyofikiria, Messi Leo hii akihamia Psg, Juve, au Manchester city hatoweza kuchukua trophies, waseme Tu wana mahaba na Ronaldo
Mh! umeandikaje?Walyeikum msalam ndugu,Allahadullah mzima.
What have you invested in?[emoji1541][emoji2837][emoji15][emoji2958][emoji574]
*Remember, when an investor grows old his son inherit his business[emoji162][emoji161][emoji387] but when a Professor [emoji310][emoji67][emoji310] grows old and retires his Certificates become a waste!*
[emoji706][emoji2960][emoji134][emoji2805]
*Think Investment*[emoji41]
*When we were growing up they used to tell us that Education is the key[emoji1006] to success*
*Now we went to school, graduated, got the key*[emoji360] *only to discover that the Government has CHANGED the padlock!*
[emoji357][emoji134][emoji134][emoji134][emoji376][emoji134][emoji134][emoji134]. [emoji23][emoji23][emoji17][emoji17]
*Investment is the new key to life!*
*Think of Investment!*