Good luck aisee. J'2 njema !!!SYB, nipo kilomita kadhaa nyuma huko napitia post zenu za jmosi
Siasa zetu pasua kichwa hizi..."Lowassa ni Fisadi, tena ni Fisadi Papa"
Freeman Mbowe
Dah !!!"Anayetaka mimi nihamie upinzani ahame yeye, CCM ni chama safi" Lowassa
Fala huyu hata wapiga kura wake hizo pesa hawazioni labda wakati wa uchaguzi anapokuja kuwahonga"Mimi ni joka lenye makengeza jukumu langu kubwa ni kuwatafutia pesa wapiga kura wangu, teh teh, teh"- Chenge
Keshapokonywa nywila. Hakawiagi [emoji16][emoji16][emoji16]Davet tunamiss likes zako, najua unapita hapa juu kwa juu ila tambua wewe ni mtu muhimu sana hapa.
Tafadhali jitokeze japo usalimie tu
Mkuu. Ndiyo jicho la Demiss hili?
Likely #4