Wakuu Ukijaribu kuangalia kwa umakini mfumo wetu wa kodi ni wakijinga sana na hautotusogeza mbele. Gari kwa Tanzania ni Anasa tena anasa kubwa sana. Unanunua gari milioni tano eti uandae na kodi milioni tano nyingine. Hii sio sawa na walioweka hiyo kanuni kwenye kikokotoo naona wao haliwagusi...
Jibu ni moja tu, licha ya kinywaji hicho kuburudisha na kupunguza hali ya uchovu wa mwili lakini pia kwa wale wenye mning’inio wa pombe (hangover) huwasaidia kuondosha hali hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.