Wakuu Ukijaribu kuangalia kwa umakini mfumo wetu wa kodi ni wakijinga sana na hautotusogeza mbele. Gari kwa Tanzania ni Anasa tena anasa kubwa sana. Unanunua gari milioni tano eti uandae na kodi milioni tano nyingine. Hii sio sawa na walioweka hiyo kanuni kwenye kikokotoo naona wao haliwagusi...