Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Mi nimeona Louis VuittonLimguu...
View attachment 1136266
Mi nimeona Louis VuittonLimguu...
View attachment 1136266
🤣🤣🤣🤣 Men will be MenKipofu kaona mwezi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1136260
Kwema SYB.. Mungu ashukuriweKila mtu huona atakacho.
Kwema?
Kwa kweli..Kila mtu huona atakacho.
Kwema?
Actually ukipaka yai, parachichi na unga uso unakuwa Soft hatari.. With even complexion.. Home Skin Remedy
🙄 hiyo mikono vipi? huwa wanaambiwa "hands where I can See them?"
Mara yake ya kwanza kuogesha ndio maana kapiga picha na kupostiNani kama baba?
View attachment 1136256
Wow.. Cuteness Alert⚠️MashaallahView attachment 1136197
🤣🤣Daemusin bwanateh teh teh bora ujipe jina la blenda utapata kusaigia vyakula
OkraNimekuta mahali watu wanabishana, hiki kinaitwaje? View attachment 1136095
Wewe umeoa wawili?
Kama majinzi dizaini mpya hizi wanazovaa kina naniliuKama najiona vileView attachment 1136067
Mashallah kafanana sana na Mrs wa Dk. flulani hivi[emoji7][emoji7]
View attachment 1135408
Mpe hongera huyo Dr kwa niaba yangu...Na mwambie asichiti kamwe kwani kapata malaika !!!Mashallah kafanana sana na Mrs wa Dk. flulani hivi
💯✔✔✔[emoji818][emoji818][emoji818]
Sometimes what u want isn’t for u
Sawa Ntamwambia siku moja nikikutana nayeMpe hongera huyo Dr kwa niaba yangu...Na mwambie asichiti kamwe kwani kapata malaika !!!