Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Huvaagi?Aisee,nitake radhi,na uzee wote huu kweli?
Huvaagi?Aisee,nitake radhi,na uzee wote huu kweli?
Hivi Wanaume na wanawake nani anapenda pesa zaidi.. Tofauti ni vyanzo tu..
Ki OkraOkra
Wewe umeoa wawili?
Jiongeze...Hapana, ninaye mmoja.
Unanishauri nini mkuu, Niongeze au nibaki na mmoja?
Utakuwa na majina mangapi sasa? Jizazi...
Kila jina na maana yake hahahah mbele ya kua mtamu hata mia sawa tu
Huvaagi?