Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Whai?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli bro. Tena kama kwenye hii ishu ya mademu. Expect nothing and just go with the flow...tena utegemee kuumizwa tu na ujikinge na kujilinda accordingly...Expecting too Much, hurts all the time
Sema kamanda. Leo mishe za madini na utalii wapi?Habari za jioni mliopo pande hizi
Ni kweli bro. Tena kama kwenye hii ishu ya mademu. Expect nothing and just go with the flow...tena utegemee kuumizwa tu na ujikinge na kujilinda accordingly...
#KuchapiwaHakuepukiki
mi nmefurahia tu comments[emoji23]
Ukweli ndo huo bro [emoji16][emoji16][emoji16]Bro hii hashtag yako ni ngumu kumezeka lakini Ngoja tusukumizie na maji
#kwelihakuepukiki