Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ukweli ndo huo bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni Ukweli mtupu bro
Ukweli ndo huo bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Newcastle United haina haja na mshambuliaji wa West Brom na Venezuela Salomon Rondon - ambaye alihudumu msimu uliopita akiichezea klabu hiyo ya ligi kuu ya Uingereza - licha ya uamuzi wa mkufunzi Rafael Benitez kuondoka katika klabu hiyo. (Star)
Hehehehee umepona sasaHahah! Chizi kweli wee 😂
Wameshakua matajiri,hapo wanamtaka either mourinyo au kocha mwingine mkali bei mbayaWhy is he leaving? They need him!