Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2656.JPG
 
Hehehehee umepona sasa

Ngoja nikupe mchapo wa luis suarez

Eee bana mechi ya jana sijui juzi Suarez si akadai penat kisa golikipa kauzuia mpira kwa mkono ndan ya boks hatari

Kuna jamaa alivamia uwanjan,mchezaji wa timu pinzan akamkata mtama mvamizi uwiii suarez si akaenda kulalamika kwa refa ili mchezaji huyo apewe kadi
Eeh! Mungu ni mwema kwakweli......

Toto tundu Suarez jamani hajaacha tu vituko au timu yake ya Taifa yupo free sana
 
Back
Top Bottom