Salaam kwako pia..Kimsambwanda which is totally different to msambwanda. Nakusalimia Fragaria.
YummyFruit kiss
Chukua kipande cha tunda (hasa fruit juice kipande cha nanasi, embe au zabibu) ng’ata nusu na yeye nusu na kunyang’anyana hadi linavunjika na juice kutelemka midomoni romantically.
[emoji23][emoji23] bora umetoa angalizoTiger kiss
Kama tiger huku akiwa hajui ukiwa mgongoni mshike na kumbusu kwa kung’ata shingo (angalie usijemuumiza mimi simo nazungumzia kung’ata kimahaba)
Waambie pia wahakikishe kuwa midomo ni misafi na haina michubuko vinginevyo wanaweza kupeana Herpes na hata UKIMWI [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kubusu hukuongezea self esteem na kujisikia upo appreciated kwani busu ni tamu na raha.
Mabusu hupunguza kuzeeka kwani mnapobusiana huhusisha misuli zaidi ya 29 kwenye eneo la mashavu na shingo.
Kubusu huchoma calories kati ya 6 – 12 na mkiongeza na love making huweza kufikia 300 na utajisikia raha.
Kubusu huondoa stress, huweza kutoa ocytocin, homoni ambayo hufanya mtu kujisikia vizuri.
Hakikisha unapobusu ni zaidi ya sekunde 10 ili kupata matokeo.
Hivyo basi wewe na mpenzi wako go ahead, kwa afya na furaha sherehekea kila siku kwa kupigana mabusu.