Nshakutafutia pa kuanzia...Mti wa Mlonge sijaona, ngoja nikatafute notes.
Kweli nyani haoni kundule [emoji16][emoji16]
Hata mimi sijui.Ni kwa nini kirusi cha UKIMWI hakiwezi kuonekana moja kwa moja kwenye vipimo kama virusi vya magonjwa mengine? Ni kidogo sana na vipimo havina nguvu ya kukiona au inakuwaje? Hapa huwa pananitatiza japo naamini UKIMWI upo kwa sababu ushaua jamaa zangu wa karibu wengi tu.
Bro, salama?
Wewe unawaza nn sijui King😀😀Hahah! Bradha bhana, ukishamdaka unamfanyaje?
Kuna mtu aliyewahi kukiona hicho kirusi cha UKIMWI laivu? Kama yupo alitumia vipimo gani na kwa nini vipimo vingine visikionyeshe moja kwa moja?Hata mimi sijui.
Japokua UKIMWI kama UKIMWI sio ugonjwa, ni upungufu wa kinga.Kuna documentary ya Dr alikua anatoa facts kwenye hii link
Bro, watu wanafariki ni kweli ila issue ni kwamba wanafariki kwa ugonjwa gani?Dalili nyingi za UKIMWI zinafanana na magonjwa mengine kama TB n.k
HE!! NINI HICHO