Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Koulibaly mwenyewe, ambaye kwa sasa yupo kwenye michuano ya Afcon 2019 akiwa na kikosi cha Senegal huko Misri, hivi karibuni alisema kwamba hafahamu kama msimu unao ataendelea kuwapo katika kikosi cha Napoli.
 
Kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer anataka kusajili beki mpya wa kati na sasa akili yake ipo kwa Koulibaly baada ya kuona kwamba anaelekea kuzidiwa kete na Manchester City huko kwenye usajili wa beki wa kati wa Leicester City, Harry Maguire.
 
Beki mwingine wa kati anayesakwa na Man United ni Raphael Varane wa Real Madrid, lakini itakuwa ngumu kwa sababu staa huyo kwenye mkataba wake umewekwa kipengele kinachohitaji kulipiwa Pauni 430 milioni kwa timu inayohitaji saini yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…