......Dah mwanamke Alievimba vilivyo katikati.... Ndo Udhaifu wangu mkubwa. Dah lakini viumbe hivi nowadays Vimeadimika Sana Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaaaa duh πππππ
MKE; mbona unanukia pafyumu ya kike?"
MUME; "Yaah, Kuna Mwanamke Tulikuwa Tunaminyana Ndani Ya Daladala"
MKE; na lipstick kwenye shati?
MUME; Tulikumbatiana na Wageni Toka Zambia Walitembelea Ofisi Yetu"
MKE;Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali?"
MUME;"Bwanaeee!!! Acha Maswali Ya Kijinga Minalala Nina Usingizi"
MKE; lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi nyumbani"
MUME; "Umesema nini Wewe??"
MKE; "Bwanaeee acha maswali ya kijinga mi nalala ninausingizi!!!"πππππ