myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema
Hii sukariiiNi usiku wa manane. Naamini niko peke yangu hapa. Najifurahisha tu kwa raha zangu. Ukipenda gonga like. Usipopenda kausha. I love you ALL...
View attachment 1139513
Wanawake wengine (siyo wote) katili sana.
Salama mkuu, kwema huko?Hamjambo humu ndani
Salama kabisa....Hamjambo humu ndani
Kwema mkuu tunamshukuru mwenye enzi kwa uzima anaotujaliaSalama mkuu, kwema huko?
Mkuu mambo vipi odds zako kwa Stars zikoje leoSalama kabisa....
Mamboz