Mfano mzuri wa kuigwaAnazeeka vizuri sana huyu jamaa. Halafu kimyaa huwezi kumsikia akihangaika na mambo ya kijinga kama maselebriti wengine weusi. Hata mambo ya skendo za wanawake na ishu zingine hizi nooo. Akiguswa na jambo anatoa milioni zake kadhaa kuchangia halafu humsikii tena. The GOAT ndani na nje ya basketball...
Hii kiki imefeli kabisaMianasiasa...
Kusaka kiki kila mahali...
Shwaiini !!!
Ana sauti fulani Kali sanaNguli Celine
Broooo [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji870][emoji870][emoji870]
HahahahaNasikia mtoto mteule wa baba alikuwa amewaahidi Vitz kila mchezaji kama wangeshinda. Hii mbona hamasa kubwa tu? [emoji16][emoji16]
Duh kijana huwa haufui?hazikatiki tu hahaah
YapLegends Michael
Heheh! Bro Kwema?Broooo [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji870][emoji870][emoji870]
Sio bro ita king hahahahBroooo [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji870][emoji870][emoji870]
Hahaha!Duh kijana huwa haufui?hazikatiki tu hahaah
Huu mkono wa mwanaume 😳