Ya dunia mengi sanaMajike dume...Duniya...
View attachment 1141019
NdioHuu mkono wa mwanaume 😳
Nataka nitoe povu ni wew mpendwa nisiharibu siku yako.Ndio
Mwanaume wa Dar [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Huu mkono wa mwanaume [emoji15]
Wameshaanza.Wanaotarajia kukatwa mikia View attachment 1141034
Kwema Bro (Prisca anasema bro eti nakushushia hadhi inabidi nikuite King). Nimeona hivyo vidole nikakumbuka vile vidole orijino vilivyokuletea matatizo wakati bado uko mgeni katika uzi huu [emoji16][emoji16]Heheh! Bro Kwema?
Heheh! Ndio ni mimi ila kama povu lipo litoe tuNataka nitoe povu ni wew mpendwa nisiharibu siku yako.
Yaani nimeshangaa mimi mtu kama huyu mikucha kama mwewe hata salamu ya kushika mkono wangu sitaki.Mwanaume wa Dar [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahah! Mwanamke wa mkoa anashangaaMwanaume wa Dar [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mzee wa data katka ubora wakoKwema Bro (Prisca anasema bro eti nakushushia hadhi inabidi nikuite King). Nimeona hivyo vidole nikakumbuka vile vidole orijino vilivyokuletea matatizo wakati bado uko mgeni katika uzi huu [emoji16][emoji16]
View attachment 1141043
Eti mpendwa kwako ni urembo au una kazi nazo nyingine (sorry 🙏🙏)Heheh! Ndio ni mimi ila kama povu lipo litoe tu
Duh! Kumbe wapo kwa spesho misheniWameshaanza.
Siyo wakatwa mikia hawa. Usidanganyike...
Hawa watatumwa kwenda kufanya kazi huko. Na wakishaimaliza haooo wanarudi nyumbani kwa amani...