Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Polisi sijui kwa nini wanakuwa wajinga siku zote hizi! Uthibitisho wa nini!? Yaani mtu kaibiwa for instance anaripoti polisi huwa mnataka uthibitisho? I said it from the start nyie mnajua aliko! Ngoja tuwasaidie! Ile nyumba mlikowapeleka wale waandishi wa CPJ ndiyo mmemuweka humo
 
Mungu amsaidie huko aliko ishaalah arudi akiwa mzima.
 
Nashangazwa na mpiga picha, amehangishwa na picha kuliko kujaribu kumnasua muhanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…