capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ni mfumo wa maisha tu bro, wengi wanalala mezani ama kwa Sofa/kiti.The reason behind Mkuu?
Ni mfumo wa maisha tu bro, wengi wanalala mezani ama kwa Sofa/kiti.The reason behind Mkuu?
Kisayansi kuna ukweli japo inategemea na spidi ya gari. Unapofungua dirisha gari ikiwa katika mwendo upepo unaingia na kani mwendo kinzani ambayo huisukuma gari nyuma wakati yenyewe inajaribu kwenda mbele. Hali hii hupelekea gari kutumia nguvu nyingi zaidi kwenda mbele na hivyo kula mafuta zaidi.[emoji23][emoji23]View attachment 1141567
Mimi leo naangalia ya Women world cup.Hahahahah team wasaliti niliamua kulala baada ya kuona kenya wapo nyuma
Muone [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1141572
Hapa WAGUMU tunapita tu, shaaaa! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
Muone [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti shaaa...si ajabu hapo una lori limejaa maua...
View attachment 1141575
Sijakusikia kwa muda kidogo. Kwema huko? Hata jana/leo? tulikusema mimi na Cole kuhusu ishu ya ugumu. Sijui kama uliona [emoji16][emoji16][emoji16]Daa poti unaharibu sasa. Watu tuna “Udhu” tayari hapa, hapo wala sijaona! [emoji1][emoji1][emoji1]
Sijakusikia kwa muda kidogo. Kwema huko? Hata jana/leo? tulikusema mimi na Cole kuhusu ishu ya ugumu. Sijui kama uliona [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1141572
Hapa WAGUMU tunapita tu, shaaaa! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
View attachment 1141572
Hapa WAGUMU tunapita tu, shaaaa! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]