capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
3. Kuna mgeni (wa heshima) [emoji2221][emoji2221][emoji2221]ukitoa siku za sherehe ukimuona masikini anachinja au kununuliwa kitoweo cha kuku basi naomba ufahamu
View attachment 1141504
- mchinjaji au mnunuaji kitoweo cha kuku ni mgonjwa
- kuku ni mgonjwa anayekaribia kufa.
Eti ukichoka watu wanakuchoka zaidi. Prisca bana [emoji16][emoji16][emoji16]UNAAMBIWA hivi, ukichoka watu wanakuchoka zaidi. Hicho ndicho kinachomtokea beki wa kati Shkodran Mustafi huko Arsenal, kwamba timu yake kwa sasa inataka kumuuza hata kwa bei ya kutupa.
Tumeshatolewa au bado tumo?AFCON nayo inaendelea
Bashite anajua kila kitu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kuwa mwanasiasa haina maana kwamba wewe unajua kila kitu
Mfalme Suleimani, mbali na kuwa nao alfu moja, si ajabu bado alikuwa anakata shingo kuangalia misambwanda hevi huko barabarani...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji177]View attachment 1141553
Uwiii !!!
Tumeshatolewa au bado tumo?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Dakika ya 64 USA [emoji631] wanapata bao la pili 0-2
Uwiii !!!