Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kisayansi kuna ukweli japo inategemea na spidi ya gari. Unapofungua dirisha gari ikiwa katika mwendo upepo unaingia na kani mwendo kinzani ambayo huisukuma gari nyuma wakati yenyewe inajaribu kwenda mbele. Hali hii hupelekea gari kutumia nguvu nyingi zaidi kwenda mbele na hivyo kula mafuta zaidi.

Mpewa lift ama inabidi afunge madirisha au achangie fedha za kununulia wese ...au ashushwe tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ