Kisayansi kuna ukweli japo inategemea na spidi ya gari. Unapofungua dirisha gari ikiwa katika mwendo upepo unaingia na kani mwendo kinzani ambayo huisukuma gari nyuma wakati yenyewe inajaribu kwenda mbele. Hali hii hupelekea gari kutumia nguvu nyingi zaidi kwenda mbele na hivyo kula mafuta zaidi.
Mpewa lift ama inabidi afunge madirisha au achangie fedha za kununulia wese ...au ashushwe tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Muone [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti shaaa...si ajabu hapo una lori limejaa maua...
View attachment 1141575
Full time France [emoji632] 1 USA [emoji631] 2
Hahahaha, habari yako poti
Itakua mechi kali hii.USA 🇺🇸 wametinga kwenye nusu fainali na watakipiga na England 🏴 July 2.
20+40=60
Hawa wetu hawataki kuelewa hili.Kuwa mwanasiasa haina maana kwamba wewe unajua kila kitu
Stroke...Miaka 45 tu siku hizi phaaah mtu keshapooza kama siyo kuondoka jumla. Tatizo ni nini?
Hata sijui kwa kweli.Stroke...Miaka 45 tu siku hizi phaaah mtu keshapooza kama siyo kuondoka jumla. Tatizo ni nini?
Amen.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1141592