Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

447806137_164912.jpeg
 
Mimi mwenyewe kuanzia j3 sintokua na muda wa kutosha kufatilia game....

Game chache ulizoangalia fundi gani kakukosha?
Nilitegemea kuwaona Nigeria wakinikosha zaidi,lakn bado hawajaonesha ufundi wowote,,,ni gumu kumtaja mchezaji mmoj mmoja nafikiri kwa hatua ya pili tutaona mengi..

Morocco wamenifurahisha wapo vizuri sana
 
Back
Top Bottom