Mimi mwenyewe kuanzia j3 sintokua na muda wa kutosha kufatilia game....Baadhi ya mechi bro,hasa za mapema zile za saa tano sijawahi,mfano wiki yote hii sitaangalia mechi hata moja
Nini shida mumy?Boring day
Si nimekosea nikatuma kapicha kangu kule. Hope hujakaona hahahaNini shida mumy?