Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilitegemea kuwaona Nigeria wakinikosha zaidi,lakn bado hawajaonesha ufundi wowote,,,ni gumu kumtaja mchezaji mmoj mmoja nafikiri kwa hatua ya pili tutaona mengi..Mimi mwenyewe kuanzia j3 sintokua na muda wa kutosha kufatilia game....
Game chache ulizoangalia fundi gani kakukosha?
Haya ..kachukue passport mpya kwanzaNitafute nikusindikize
Si nimekosea nikatuma kapicha kangu kule. Hope hujakaona hahaha
Hili ndilo chimbo la kupata likes za bure ausio