myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ok then ready to go
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!! HayaKipa huyo sasa, Buffon anataka Juventus wamchezesha walau kwenye mechi nane msimu ujao ili ang'atuke kwenye soka akiwa amecheza mechi 648 kwenye Serie A na kuweka rekodi.
Wamnunue tu hakuna namna..Real Madrid watalazimika kulipa kitita cha pauni milioni 150 ili kumsajili kiungo Mfaransa Paul Pogba 26, kutoka Manchester United. (Mirror)