Jana juzi 28.06.2019 kwa mbwembwe sana ATCL walizindua safari yao ya kwanza kwenda SA na kutua OT International Airport! Kwenye msafara kulikuwa na maafisa waandamizi wa ATCL ,waandishi wa habari wengi tu (walipewa free tickets) , ATCL CEO Bwana Matindi na Naibu Waziri Nditiye
msafara huo uliiondoka saa 5 hivi asubuhi kuelekea SA vizuri sana!Msafara ulifika OT International Airport na kupokelewa kwa "water salute" kama kawa na mapicha na ma video yaani mliyaona wenyewe! (Sikumbuki kama kuna picha nyingine zaidi ya hiyo)- kama ipo naombeni jamani
Mafekeche yalianza pale mamlaka za uwanja wa ndege wa OT Int Airport kuanza kuwashangaa CEO Matindi na kundi lake! Matindi ukawajibu kuwa mnatarajia kuwa na sherehe ya uzinduzi wa route yenu ya ndege toka Dar to Jburg na kuna maafisa wa serikali ya SA na TZ wako uwanjani hapo
maalum kwa ajili ya tukio hilo.Maafisa wa OT Airport wakakujibu hawana taarifa ya any ceremony wala mkutano popote katika premises za uwanja huo! Juhudi zako za kumpigia balozi simu zilikwama maana akawa hapatikani na Prof Majalalani naye yuko angani anarudi toka China
Mkaamrishwa wewe na kundi lako kuondoka na hamkuruhusiwa kuvuka clearance section ya immigration na mkaambiwa mrudi kwenye ndege na muondoke kurudi mlikotoka! Kuthibitisha hilo passport zenu wote zimegongwa muhuri wa exit tu ya Tanzania hakuna aliyegongewa entry ya South Afrika.
Hata ushahidi hawakutaka kuwa nao kuwa mlikanyaga ardhi yao.Mkarudi kwenye dege lenu la kimataifa la hapa kazi tu
mkaamza safari ya kurudi Dar kwa unyonge sanaaaa! Saa 2 usiku mkatua Dar na mkawakusanya waandishi wa habari na kuwambia wasiandike jambo hili na aibu mliyoipata SA
na wewe Bosi Matindi ukasema hii ni "trade war" kama kawaida yenu yaani! Sasa muwe wasikivu sana mkiwa mnashauriwa mambo haya!mnawajua wana hisa wa Fastjet mliowaletea mafekeche hapa kwenu!? Hiyo ni SA picha la Mumbani mtafurahi na roho zenu maana wamepanga kuwarudisha mid air!
Wahariri wanakupigia simu wewe Matindi hutaki kupokea simu!Why? Hakuna siri tena haya mambo yameshamwagika yaani!Ni haki yetu kama vile mlivoitisha waandishi wa habari wakati mnataka kuanza kwenda huko basi tunataka mapicha picha ya South yaani wakati mnakata keki kuzindua route
Yaani mlivyo na mbwembwe mbona tungekoma haya mapicha na maneno yenu ya kwenye kanga! Jifunzeni kuwa fair kwenye mambo yenu! Watu wanawachukia dunia nzima!
Kuwasaidia tu hawa ndiyo wanahisa wa FastJet mngejipima kama mna kifua kufanya nao fitna! Tulieni sana wasomeni Solenta Aviation halafu mtaelewa mnacheza na nini
Mary Jane Blige (; born January 11, 1971) is an American singer, songwriter, actress, and philanthropist. She started her career as a backing singer on Uptown Records in 1989. She has released 13 studio albums, eight of which have achieved multi-platinum worldwide sales. Blige has sold over 80 million records, has won nine Grammy Awards, four American Music Awards, twelve Billboard Music Awards and has also received three Golden Globe Award nominations, including one for her supporting role in the film Mudbound (2017) and another for its second original song "Mighty River" for Mudbound; she also received a nomination for the Academy Awards for Best Supporting Actress and Best Original Song, becoming the first person nominated for acting and songwriting in the same year.
In 1992, Blige released her first album, What's the 411?.