mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
PowerrrrrMakamanda....
Pipooooooooziiiii [emoji350][emoji350][emoji350]
PowerrrrrMakamanda....
Pipooooooooziiiii [emoji350][emoji350][emoji350]
Kama kawaHaya na tusonge na likes za weekend
HakikaWanasiasa waache vijana wacheze mpira,
Funguka moja kwa mojaKuwa mwanasiasa haina maana kwamba wewe unajua kila kitu
Njema Bro, mambo yanaenda??Habari za jumapili wapendwa
Bado tupo tunacheza na Algeria keshoTumeshatolewa au bado tumo?
HahahahaBashite anajua kila kitu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hatari sanaMkanganyiko...View attachment 1141564
Habari za jumapili wapendwa
HahahahaMfalme Suleimani, mbali na kuwa nao alfu moja, si ajabu bado alikuwa anakata shingo kuangalia misambwanda hevi huko barabarani...[emoji16][emoji16][emoji16]
Timu CCM vs AlgeriaTumebakisha mechi moja dhidi ya Algeria, lakini hata tukishinda goli 200-0 haitasaidia lololote
Hahaha poti sio kweli uwezi acha hicho kituView attachment 1141572
Hapa WAGUMU tunapita tu, shaaaa! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
HahahahaMuone [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti shaaa...si ajabu hapo una lori limejaa maua...
View attachment 1141575
Wazungu bana. Eti JLO naye anasifika kwa kuwa na msambwanda [emoji16][emoji16][emoji16]
USA wako vizuri sanaUSA [emoji631] wametinga kwenye nusu fainali na watakipiga na England [emoji1022] July 2.