😎My size 😎😎
Kweli kabisaLeo dereva wa taxi kaniambia/Magufuli anataka kufanya kila kitu kwa wakati moja; sijui daraja, mara reli, kisha ndege, halafu kuhamia Dodoma. Haiwezekani. Hata Mungu kaumba dunia kwa awamu. Sio kwamba alikua hawezi kuiumba wakati moja lakini aliona kuumba kwa awamu ni busara.
FK SHANGAZI
This is AfricaSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema amemuandikia barua mwenyekiti wa NEC kumtaarifu kuwa kiti cha ubunge jimbo la Singida Mashariki kipo wazi kutokana na mbunge Tundu Lissu (Chadema) kutokuwepo bungeni bila taarifa na kutokujaza fomu ya tamko ya mali na madeni.
Amun RaKuendelea kunyamaza kimya wakati ndugu zetu wanatekwa na kupotezwa hakukufanyi uwe salama kitu pekee ambacho kitaifanya Tanzania yetu iwe mahali salama pa kuishi ni mimi na wewe kupaza sauti na KUKEMEA vitendo vya utekaji na upotezaji wa ndugu zetu.
#BringBackRaphaelOngangi
Habari za jumapili wapendwa
Hope wote ni wazima ,buheri wa afya humu ndani
Polisi sijui kwa nini wanakuwa wajinga siku zote hizi! Uthibitisho wa nini!? Yaani mtu kaibiwa for instance anaripoti polisi huwa mnataka uthibitisho? I said it from the start nyie mnajua aliko! Ngoja tuwasaidie! Ile nyumba mlikowapeleka wale waandishi wa CPJ ndiyo mmemuweka humo
Mkuu dunia imebadilika sanaNashangazwa na mpiga picha, amehangishwa na picha kuliko kujaribu kumnasua muhanga