myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jua linachomoza na matumaini mapya
Saaaafi
Kilimo chenye tija...
Weweeeee...
Asalam alaykum,Nipo mpendwa kitu gani hicho?😂😂😂😂😂umenifanya nitabasamu mzima weye? Za kwako na za weekend? Naona umeadimika siku chache hizi hapa jukwaani. Siyaoni mabandiko yako 😜😜😜hicho kitu ni aje lakini? 😜😜😜😜