Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1143885
 
Ebwana poa, mara nyingi humsoma Comrade Kipepe vitabuni, sikutarajia kama siku moja tutashikana mikono na kupeana likes.
Karibu sana, habari za mwituni kwenye mawindo yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2937][emoji2937][emoji2937]
mimi ndimi, kwasasa mawindo yamekua magumu sana wanyama hamna yan njaa tuu
 
Back
Top Bottom