Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Si wanafunga tu PM zao kama wanaogopa? Wanatunyima tu uhondo hakuna lolote. Roho mbaya tu [emoji36][emoji36]Hahahaha, wanaogopa SMS za kufa mtu PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiatu kilimkosa kosa...beberu !!!
View attachment 1143905
Wa kwetu huku hawawezi kuwa alert na kukwepa hicho kiatu?Bush yuko fiti kwenye michezo hiyo, angekuwa kiongozi wa bara hili kiatu kingempata tu
Hii ndoa hii mhh !!![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1143914