Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190703-WA0039.jpeg
 
Mifumo ya elimu yetu ni mibovu. Tufanye kama wanavyofanya Wajerumani. Watoto wakimaliza high school siyo lazima waende vyuo vikuu. Wanaweza kuchagua kazi wanazotaka kufanya. Anayetaka ufundi magari anakwenda. Anayetaka ufundi umeme anakwenda. Anayetaka Nursing anakwenda. Anayetaka Welding anakwenda. Anayetaka kuwa seremara gwiji anakwenda. Anayetaka kilimo anakwenda...na kozi zote hazizidi miaka mitatu. Mtu anakuwa na maarifa tumizi na anakuwa hajapoteza muda chuoni kusoma minadharia tu ambayo wala haitamsaidia sana. Wakitoka hapo wanaajirika na wanaotaka kujiajiri kunakuwa na mikopo nafuu serikalini ya kuwasaidia kufungua vibiashara na vikarakana vyao kulingana na ufundi waliosomea. Utaratibu huu unasaidia sana....
 
Sawasawa...
 
Africa bara la giza kila jambo linaenda kigiza.
 
Back
Top Bottom