Ukweli ni upi 🤔Siyo kweli !!!
Afrika siyo bara la giza na siyo kila kinachofanyika Afrika kina ugiza giza [emoji16]Ukweli ni upi [emoji848]
Salama za kwako MoudgulfSabalkheri Hawachi
AsanteWakusoma poleni..
Kwa neema tulio pewa na Allah kama hadi leo tu mafukara why tusiwe bara la giza.Afrika siyo bara la giza na siyo kila kinachofanyika Afrika kina ugiza giza [emoji16]
😀 😀 pamoja na mwili huo anajua kukaa vizuri....
Kweli kabisaTuna mifumo ya elimu inayoegemea kutatuliwa na ajira.
Tujifunze nchi kama India ambapo kila familia ni wajasiliamali, ina biashara furani au kiwanda kidogo.
Mifumo ya sasa itakuja kutugharimu