Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1562161260954.jpeg
 
Kumbe sikukosea afadhali.
Ukosee kuwatania Wasukuma wanaotaniwa na kila mtu kwa ushamba wao hapa duniani? Na mtandaoni humu mimi hata unikosee vipi nimeshajifunza kutojali sana japo ukizidisha sana tunakoromeana, tunatiana kwenye iginoa listi mwishowe yanaisha na tunasonga mbele. No big deal mpendwa na daima jisikie huru [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom