Mimi mume wangu siwezi mtolea kauli hiyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sorry ya nini tena mpendwa?Sorry mpendwa
Kumbe sikukosea afadhali.Sorry ya nini tena mpendwa?
Ukosee kuwatania Wasukuma wanaotaniwa na kila mtu kwa ushamba wao hapa duniani? Na mtandaoni humu mimi hata unikosee vipi nimeshajifunza kutojali sana japo ukizidisha sana tunakoromeana, tunatiana kwenye iginoa listi mwishowe yanaisha na tunasonga mbele. No big deal mpendwa na daima jisikie huru [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kumbe sikukosea afadhali.
Umenipotezea muda wangu bure tu kusoma yuzilesi infomesheni [emoji16][emoji16][emoji16]